Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital Agosti 4, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema Mwalabhila amefariki leo baada ya gari lake...