KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS.
Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea na zoezi la urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara katika eneo la Songas ambalo nalo lilikatika...
Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.
Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es Salaam yamekatika.
Hali hiyo imetokana na madhara ya kimbunga Hidaya kilichosababisha mvua kubwa...
Timu ya wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanaendelelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja hilo linalounganisha barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kukatika na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.