somo la fizikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

    "Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?" Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine...
  2. msafi WCB

    Usiache kusoma physics kwa shinikizo la mwalimu wako au kutojua umuhimu wake. D (pass) ya physics inatosha kukupa fursa kibao

    Wanafunzi wa sekondari (O level) hasa wale wanaopenda science msiache Somo la physics kwa shinikizo la mwalimu au bila kujua umuhimu wake. Walimu wengi hasa wa shule za vipaji wanapenda kushinikiza wanafunzi waache kusoma physics ili wabaki na wale cream ili wasiharibu wastan wa ufauru katika...
Back
Top Bottom