Utangulizi
Somo la hisabati (mathematics) ni moja kati ya masomo yaliyoko kwenye mtaala wa masomo Tanzania kwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kutokana na umhimu wake kwa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla, somo hili ni msingi kwa kila mwanafunzi katika ngazi hiyo kulisoma na kufanyiwa...
Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi kuhudhurisha ubongo na fikra katika kutegua changamoto mbalimbali. Takwimu zinaonesha kumekuwa na ufaulu...
Asilimia kubwa ya wanafunzi nchini Tanzania hufanya vibaya SoMo la HISABATI , Jambo linalofanya wengi kuliita tatizo hili gonjwa la taifa . Kuna sababu mbalimbali zinazofanya wanafunzi wengi kushindwa SoMo la HISABATI . Sababu hizo ni Kama ifuatavyo:
1. Ni dhana potofu iliyojijenga katika...
Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda.
Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi?
Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa?
Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
Pamoja na matokeo ya kidato cha 4 kuongezeka ufaulu, kidato cha 2 na darasa la 4 kwa mujibu wa taarifa/ripoti ya Baraza la Elimu Tanzania limesema kuwa bado ufaulu wa Somo la Hisabati uko chini sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana tatizo ni nini lkn majibu yamekuwa yalitolewa na wadau wa elimu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.