Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi kuhudhurisha ubongo na fikra katika kutegua changamoto mbalimbali. Takwimu zinaonesha kumekuwa na ufaulu...