Habarini,
International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya.
Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit...
2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri.
Baada ya katibu...
Wadau Reject Reject Bill ya Sir Newson mkenya huyu nairudia na sichoki kuisikiliza hapa, natumia Sub woofer au AirPro ni muziki munene kweli kweli.
Hebu twende sote hapa...
Kwa upande Wangu this list is my favourite Kwa nyimbo zilizotoka recently
Judikay - Man of Galilee
Israel Mbonyi - Malengo.
Israel Mbonyi - sikiliza.
Israel Mbonyi - amenisamehe.
AIC chang'ombe choir - elohim
Moses Bliss - You are great
Mercy Vhinwo - You do this one.
So kiss me and smile for me
Tell me that you'll wait for me
Hold me like you'll never let me go
'Cause I'm leavin' on a jet plane
Don't know when I'll be back again
Oh babe, I hate to go
Nimeusikia wimbo huu wa John Denver uliotoka miaka ya 1960/70—sikua nimezaliwa— maneno yake yakanigusa na...
Huu ni wimbo ulioimbwa na Mwanamuziki wa Africa ya Kusini Mwanamama Yvonne Chakachaka moja ya nyimbo bora dunian na zenye maudhui ya kuiambia dunia kuhusu upendo.
Huu wimbo uliimbwa na Mwafrika haukupata sana promotion, Huwa najiuliza kama huu wimbo ungekuwa umeimbwa na Cindy Lauper au...
On 17-12-2023 will have their extraordinary meeting to discuss their welfare in respect of their member who have been admonished by the judiciary unreasonably.
One point TLS is failing without knowing is that, amongst other reason is that, State Attorneys and public advocates are also members...
Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.
1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8...
Nimeshangazwa sana na Hit song ya PCee-Kilimanjaro inavyo pendwa na kuchezwa kwenye social media.
Kiukweli jamaa anastahili pongezi kwa kuitangaza Kilimanjaro ambapo wasanii wetu wa ndani wameshindwa kuwa wabunifu kama jamaa.
Kiukweli Pcee apewe credits zake, Kilimanjaro imepewa promo kubwa na...
"Single Again" by Harmonize is a popular Afro-pop song that has taken the music world by storm. The song, which is produced by Dj Tarico and released under DK Company Ltd, is accompanied by an incredible music video directed by Director Kenny. In this essay, we will explore the elements that...
George RR Martin huenda akawa muandishi wa muda wote duniani.
Msipaniki… HUENDAAAAA….!
Series ile pendwa ya muda wote, Game of Thrones, ikitokea kwenye vitabu kadhaa vya G RR Martin. Series ambayo baada ya wabongo kuishtukia utamu wake, ilikuwa ikioneshwa kwenye club za Masaki huko per season...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.