songs

  1. RD07

    NYIMBO ZINAZOISHI (LIVING SONGS) ZA PROFESSOR JAY.

    Habari wana JF; Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda... Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA... Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...
  2. Reuben Challe

    My top 15 best songs 2024

    Hizi ndio nyimbo 15 nilizozikubali zaidi mwaka huu 15. AYRA STARR COMMAS Country: Nigeria🇳🇬 https://youtu.be/EhyzYPSHRQU?si=cbdRnjb8o5DmTy8z .. .. 14. DIAMOND PLATNUMZ- HOLIDAY Country: Tanzania🇹🇿 https://youtu.be/M0jRQ0fryBo?si=keAhJjn-5AbHdPsr .. .. 13. SABRINA CARPENTER-...
  3. Mto Songwe

    Love songs thread

    Nyimbo za kingereza pekee za kimahaba. Come together - Chris Brown ft H.E.R Come through - H.E.R ft Chris brown Zingatia ni nyimbo za kingereza pekee
  4. Kingsmann

    "Single Again" ya Harmonize yaingia tano bora ya Spotify Best Afrobeats Songs of 2023

    Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify.. Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
  5. Morning_star

    Nyimbo za Franco Luambo Makiadi

    Wakuu, Wapi naweza kupata nyimbo za huyu mwamba Franco Luambo Makiadi za 70s and early 80s. Natanguliza shukrani
  6. Mhaya

    Kwanini waimbaji wa Injili wa kike hapa Bongo hawadumu kwenye ndoa?

    Ukitizama waimbaji wa injili wengi wa kike mfano kina Beatrice Mhone, Bahati Bukuku, Angel Bernard, kina Christina Shusho, kina Flora Mbasha na wengineo wamekuwa katika wimbi la kuolewa na kuachika. Huku sisi wafuasi wao ambao tunawaona kama Role Modal wakituacha solemba tukiduwaa. Waimba...
  7. Vincenzo Jr

    Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

    1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature 2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay 3. Latifa – MB Dogg 4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee 5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto 6. Cinderella – Alikiba 7. Mzee wa Busara – Juma Nature 8. Hakunaga – Sumalee 9. Mr Blue – Mapozi...
  8. Katkit

    Diamond Platnumz na International songs

    Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
  9. H

    Pop Girls And Their Most Streamed Songs On Spotify

    Pop Girls and their most streamed songs on Spotify
  10. Nafaka

    Mwenye kujua mkali mwingine wa kuzalisha songs za EDM kama Alan walker

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
  11. BARD AI

    Ngoma ya 'Calm Down' ya Rema yazidi kuongoza Chati za Billboard U.S. Afrobeats Songs

    Msanii huyo kutoka #Nigeria, ameendelea kuweka rekodi Kimataifa kupitia ngoma hiyo aliyomshirikisha #SelenaGomez akikaa kileleni kwa wiki 27 katika wiki 50. Kati ya ngoma 50, hakuna msanii yeyote kutoka Tanzania au #AfrikaMashariki. Aidha, ngoma hiyo imepanda hadi nafasi ya 15 kutoka 19 kwenye...
  12. Makanyaga

    My Favorite Political Songs

  13. sinza pazuri

    Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

    Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic. Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic. Wasanii wa bongo...
  14. R

    Wazee wa Soft Rocks, strong feeling songs -- tukutane hapa

    Habari wadau, Leo nimeandaa huu uzi makusudi ili watu tupeane nyimbo nzur za soft rocks au atrong feeling songs. Kwanza mjue soft rocks ni tofaut na pop music mfano watu wanahoji celine dion anaimba mizik aina gani pop au soft rock jibu ni kwamba anaimba zote japo anasifika sn kwa soft rocks...
  15. Sky Eclat

    Diamond is an entertainer, you can dance and party on hos

    He sings for the world to enjoy
  16. Da'Vinci

    Recomend me three songs, I'll listen them

    Hi guys, Naomba m-suggest nyimbo 3 ambazo mnapenda sana. Mimi nitazisikiliza, iwe aina yoyote ile ya wimbo. Vizuri unavipata kwa bahati mbaya. Mimi zangu ni hizi.. The Go Go's _ Vacation. (Spiderman far from home soundtrack ) UB40 _ Red Red Wine St. Anna Choir Yombo Dovya _ Mbingu zinahubiri
  17. Da'Vinci

    African old school hit songs collection

    Habari, Naomba msaada wenu. Kama wewe ni mzee wa zamani au miaka ya 90 na 2000 ulikua unaenda Disko (Ulikuwa ushapevuka wakati huo), basi naomba uniorodheshee nyimbo zile mlizokua mnazicheza hasa za Kiafrika. Au hata kama ulikua unamsikia mzazi anauimba au kusikiliza wimbo wa zamani utaje hapa...
  18. H

    Your Best Song Released in 2018

    What is your best song released this year? For Me, i think its Black Coffee & David Guetta Drive Ft. Delilah Montagu
Back
Top Bottom