Habari wana JF;
Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda...
Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA...
Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...
Hizi ndio nyimbo 15 nilizozikubali zaidi mwaka huu
15. AYRA STARR COMMAS
Country: Nigeria🇳🇬
https://youtu.be/EhyzYPSHRQU?si=cbdRnjb8o5DmTy8z
..
..
14. DIAMOND PLATNUMZ- HOLIDAY
Country: Tanzania🇹🇿
https://youtu.be/M0jRQ0fryBo?si=keAhJjn-5AbHdPsr
..
..
13. SABRINA CARPENTER-...
Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify..
Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
Ukitizama waimbaji wa injili wengi wa kike mfano kina Beatrice Mhone, Bahati Bukuku, Angel Bernard, kina Christina Shusho, kina Flora Mbasha na wengineo wamekuwa katika wimbi la kuolewa na kuachika. Huku sisi wafuasi wao ambao tunawaona kama Role Modal wakituacha solemba tukiduwaa.
Waimba...
1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature
2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay
3. Latifa – MB Dogg
4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee
5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto
6. Cinderella – Alikiba
7. Mzee wa Busara – Juma Nature
8. Hakunaga – Sumalee
9. Mr Blue – Mapozi...
Al Jumaa Mubarak wakuu...
Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
Msanii huyo kutoka #Nigeria, ameendelea kuweka rekodi Kimataifa kupitia ngoma hiyo aliyomshirikisha #SelenaGomez akikaa kileleni kwa wiki 27 katika wiki 50. Kati ya ngoma 50, hakuna msanii yeyote kutoka Tanzania au #AfrikaMashariki.
Aidha, ngoma hiyo imepanda hadi nafasi ya 15 kutoka 19 kwenye...
Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic.
Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic.
Wasanii wa bongo...
Habari wadau,
Leo nimeandaa huu uzi makusudi ili watu tupeane nyimbo nzur za soft rocks au atrong feeling songs.
Kwanza mjue soft rocks ni tofaut na pop music mfano watu wanahoji celine dion anaimba mizik aina gani pop au soft rock jibu ni kwamba anaimba zote japo anasifika sn kwa soft rocks...
Hi guys,
Naomba m-suggest nyimbo 3 ambazo mnapenda sana. Mimi nitazisikiliza, iwe aina yoyote ile ya wimbo. Vizuri unavipata kwa bahati mbaya.
Mimi zangu ni hizi..
The Go Go's _ Vacation. (Spiderman far from home soundtrack )
UB40 _ Red Red Wine
St. Anna Choir Yombo Dovya _ Mbingu zinahubiri
Habari,
Naomba msaada wenu. Kama wewe ni mzee wa zamani au miaka ya 90 na 2000 ulikua unaenda Disko (Ulikuwa ushapevuka wakati huo), basi naomba uniorodheshee nyimbo zile mlizokua mnazicheza hasa za Kiafrika. Au hata kama ulikua unamsikia mzazi anauimba au kusikiliza wimbo wa zamani utaje hapa...