sophia

  1. Heparin

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  2. DeepPond

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka zinazohusika. Chanzo: New York Times, New York Post
  3. benzemah

    Ujumbe wa Sophia Mjema kwa Rais Samia Suluhu

    Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao. "Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri...
  4. Sildenafil Citrate

    Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  5. R

    Bi. Sophia Edward Mjema sioni kama atadumu kwenye nafasi ya uenezi kuelekea 2025

    May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama...
  6. M

    Shaka amkabidhi Sophia Mjema ofisi ya Itikadi na Uenezi

    Makabidhiano yamefanyika Lumumba. Hongera shaka kwa kukabidhi ofisi kwa amani, zinazofuata ni picha za makabidhiano ya ofisi. Hapo ndugu Shaka akitabasamu kwa bashasha bila tashwishwi.
  7. voicer

    CCM imeruka maji ikakanyaga tope. Sophia na Shaka ni "light materials" majukwaani!

    Inawezekana laana za "wabaya"sasa zimeanza kufanya kazi yake ndani ya CCM hii.kama mmefikia kujiita Chawa wa Taifa! Halafu mnaamini Kwamba Sophia atakuwa bora majukwaani,katika kipindi ambacho Siasa za majukwaani zinaenda kuanza rasmi. Na kwamba atamzidi Shaka aliyekuwepo? Ambaye hata yeye...
  8. J

    CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

    HII HAPA TAARIFA RASMI TOKA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM )
  9. Erythrocyte

    Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

    Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla. === Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka Mkuu wa Wilaya ya...
  10. Baraka Mina

    UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji...
  11. waco1920

    Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  12. figganigga

    Spika Job Ndugai alishindwa Kumlinda Sophia Simba na wenzie 12 walipofukuzwa na CCM, ubavu wa Kumlinda Halima Mdee na Wenzie 18 atautoa wapi?

    Salaam Wakuu. Kama mnakumbuka mwezi March 2017 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kiliwafukuza wanachama wake 12, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba. Sophia alilazimika kupoteza ubunge kutokana na uamuzi huo, alifukuzwa baada ya kupatikana na makosa ya maadili kinyume na Katiba...
  13. J

    Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

    Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka. Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
  14. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Video: Sophia Mwakagenda aendelea na kampeni za kuomba Ubunge katika Jimbo la Rungwe

    Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno. Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.
  15. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  16. Titicomb

    Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

    Wakuu uvumbuzi mkubwa kwenye teknolojia umeanza kuleta shida. Robot wa kwanza duniani kupewa uraia wa nchi, bidada Sophia raia wa Saudia amesema na yeye anataka kuwa na familia yake, kuwa na ajira na marafiki kama binadamu wengine halisi. Yale waliyo opgopa Elon Musk, Stephen Hawkings na wenzao...
  17. rehema shabani

    Reflex action

    help me plz what are the difference between voluntary action and reflex action
Back
Top Bottom