sophia simba

Sophia Mattayo Simba (born 27 July 1950) is a Tanzanian CCM politician and a special seat Member of Parliament since 2010. She was the Minister of Community Development, Gender and Children.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Tundu Lissu Features: Sophia Simba ataka Vti Maalum iwe ni miaka 10 tu!

    DAR ES SALAAM: JUMUIYA ya Wanawake Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania (T-WCP/ULINGO) imetaka kuwepo na ukomo wa miaka 10 kwa wabunge wa viti maalumu na baada ya hapo waende kugombea kwenye majimbo na si kuhodhi nafasi hizo. Akizungumza Dar es Salaam kwenye maadhimisho ya miaka 15 ya ULINGO na...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Sophia Simba: Wanawake waliokaa muda mrefu kwenye Viti Maalum waachie nafasi kwa vijana

    Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa wanawake katika siasa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Kada wa CCM Sophia Simba: Enzi zetu hakukuwa na uchawa. Watu walikuwa wanapata vyeo kwa uwezo wao

    Wakuu, Suala la Uchawa limezidi kuwa gumzo nchini. Huyu hapa ni Sophia Simba, kada mtiifu wa CCM ambaye alishawahi kuwa Waziri huko Serikalini. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 "Sisi enzi...
Back
Top Bottom