Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia.
Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka zinazohusika.
Chanzo: New York Times, New York Post
Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao.
"Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama...
Makabidhiano yamefanyika Lumumba.
Hongera shaka kwa kukabidhi ofisi kwa amani, zinazofuata ni picha za makabidhiano ya ofisi.
Hapo ndugu Shaka akitabasamu kwa bashasha bila tashwishwi.
Inawezekana laana za "wabaya"sasa zimeanza kufanya kazi yake ndani ya CCM hii.kama mmefikia kujiita Chawa wa Taifa!
Halafu mnaamini Kwamba Sophia atakuwa bora majukwaani,katika kipindi ambacho Siasa za majukwaani zinaenda kuanza rasmi.
Na kwamba atamzidi Shaka aliyekuwepo? Ambaye hata yeye...
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
Salaam Wakuu.
Kama mnakumbuka mwezi March 2017 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kiliwafukuza wanachama wake 12, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba.
Sophia alilazimika kupoteza ubunge kutokana na uamuzi huo, alifukuzwa baada ya kupatikana na makosa ya maadili kinyume na Katiba...
Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM.
Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka.
Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno.
Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
SEGEREA
Jumla ya kura 144
Agness lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3
Andrew 1
Kura zilizoharibika 1
BUNDA MJINI
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
Wakuu uvumbuzi mkubwa kwenye teknolojia umeanza kuleta shida.
Robot wa kwanza duniani kupewa uraia wa nchi, bidada Sophia raia wa Saudia amesema na yeye anataka kuwa na familia yake, kuwa na ajira na marafiki kama binadamu wengine halisi.
Yale waliyo opgopa Elon Musk, Stephen Hawkings na wenzao...