Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK.
Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia.
Kabla nilijuona ni mtu nisiye na thamani yeyote ile mpaka kutamani heri nife.
Ila kwa kutazama SOUL CARTOON imenirejeshea amani na furaha...