Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.
Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo huwa si tena wawili wanakuwa wameungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii inawaunganisha kimwili...