source code

  1. Kaka yake shetani

    Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

    Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa. Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
  2. Binadamu Mtakatifu

    Project for PHP beginners Notes MS with source code

    Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information settings Source code Inapatikana HAPA Pia unaweza itumia kwa kuanzisha mtandao wako (tovuti)...
  3. L

    Source Code ya Python Hospital management System

    Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza kusema Python imenipa msingi. So nafanya nayo mazoezi ya hapa na pale ila nimeamua nitahamia Dart &...
  4. R

    Msaada please header files source code sizielewi

    Habari wadau hope mpo poa Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H conio.H math.H iostream nk hizo ni preprocessor ambazo zinadefine in built in functions like...
  5. R

    Nawezaje kuopen source code files in android

    Habar wadau Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye source code yanaishia na extensions km vile .c,.c++,.h.lib,.py, .vb nk Nikitaka kuopen haya mafile ili...
Back
Top Bottom