Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake.
Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
Mimi mfanyabiashara wa duka ra rejareja nipo Dar mabibo, nahitaji maharage, choroko, kunde, njugu mawe, karanga kwa bei ya shamba.
Kama upo mkoani ukileta mzigo Dar nitafute
Namba 0788768480
Zao la Soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea. Kiasi cha protini katika soya inazidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa.
Sifa nyingine za zao la soya ni pamoja na kuwa na mafuta yasiyo kuwa na lehemu...
MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi?
Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa...
JF ndio kisima cha maarifa.
Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2.
Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
Habari za leo Wana wa jukwaa la KUU.
Wakuu nimewahi kukaa katika customs mojawapo ya nchi hii inayotuunganisha na nchi jirani kwa upande wa kusini. Sio muda mrefu uliopita.
Kusema ukweli wazee, ni tani kwa tani za soya za lishe zinapita pale in transit kwenda Rwanda, Uganda na Kenya. Na chache...
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg 600 hadi 1200 za maharage.
Maharage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.