spain

  1. Etugrul Bey

    Hispania wameniangusha sana

    Nipo zangu saluni napunguza nywele zangu na low cut ndo staili yangu,mara anaingia mwamba mmoja,ile kuingia lawama zote kwa hispania. Alisikika akisema "Hispania jana wameniangusha kweli yani sina hata raha" awali sikumuelewa huyu mwamba,nikajiuliza huyu mtu wa namtumbo na kuangushwa na...
  2. Dr Restart

    UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
  3. Pdidy

    Spain ft drw weka mzogo

    Kila.la kheri
  4. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  5. DesertStorm

    Respect kwako, Pep Guadiola..Hakika Spain, Norway na Ireland Mungu awabariki

    Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa. Spain 🇪🇸 💪🏽 Norway 🇳🇴 💪🏽 Ireland 🇮🇪 💪🏽 Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA. Japo sina uhakika kama clip hii ni ya siku hizi au ya zamani...
  6. Bata batani

    Ujerumani na ufaransa waitosa marekani waungana pamoja norway na spain sakata la icc

    Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
  7. Roving Journalist

    Comet fragment lights up sky over Spain and Portugal 'like a movie'

    Catarina Demony, Ana Cantero LISBON, May 19 (Reuters) - A bright comet fragment lit up the skies over parts of Spain and Portugal late on Saturday, according to the European Space Agency (ESA), with one Lisbon resident saying the dazzling display "felt like a movie". On Sunday morning, the...
  8. Webabu

    Spain yazuia meli ya silaha zinazokwenda Israel kutia nanga nchini mwake.

    Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel. Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26. Waziri wa mambo ya...
  9. Pdidy

    Ff Spain derby R.Madrid atashinda goli kuanzia 2 ama zaidi niko kwa Masawawe wakala

    Research kichwa cha habari hapo juu kama ujaelewa subiri matokeoooo Dk Pdidy
  10. B

    Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

    1. Kwa hakika hayapo mafanikio bila jasho na ikibidi bila damu: 2. Wapalestina na HAMAS wamemaanisha kwa heri na shari, kwa maneno na vitendo. 3. Leo dunia inatambua hata kwa kuwaangalia usoni tu, wana maanisha: "wanaitaka nchi yao sasa." 4. Tokea 1947, Spain hatimaye somo limeeleweka...
  11. Webabu

    Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza. Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na Mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo. Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu. Katika hali hiyo ile nia ya Marekani...
  12. Ritz

    Spain Italia, Ufaransa zimekataa amri ya Marekani ya kuwa walinzi wa Bahari Nyekundu.

    Wanaukumbi.. Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani.. Ukosefu wa...
  13. MK254

    Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

    Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini...... MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from...
  14. Webabu

    Rais wa Cuba aongoza maandamano kuunga mkono Hamas. Waziri Mkuu wa Spain amwambia Netanyahu taifa la Palestina ni lazima liwepo

    Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas. Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya maelfu ya raia wake katika kuwaunga mkono Hamas na harakati zao za kutetea haki ya kuishi kwenye...
  15. THE FIRST BORN

    Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  16. britanicca

    Wakubwa wanaofuata kuaga mashindano baada ya Germany na Belgium ni Spain na Argentina kwa hatua ijayo

    Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu! Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa. Sina kipaji cha kumuelezea mtu aelewe maono yetu tuliyojaliwa kuyaangalia mambo kwa nguvu ya ziada! Nitafufua...
  17. Donnie Charlie

    Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  18. Restless Hustler

    Inasadikika Mkahawa huu upo Barcelona, Spain

    Welcome my fucking customers and see the new fucking menu 😅
  19. The Boss

    Influence ya Spain kuanzia Ballon d'or hadi UEFA mnaiona?

    Ni mwaka wa ngapi sasa anaeshinda Balon d or anatokea la liga? Hata kama mwaka huu Messi katokea PSG lakini alipewa tuzo kwa performance yake ya la liga. Halafu lewandosky na Van Djik walikosaje? Sasa twende Jana draw ya Champions league mliona timu zote za Spain kasoro Madrid zilikuwa...
  20. Sky Eclat

    December 6, 1803: Maria Josepha Amalia of Saxony, Queen of Spain, was born in Dresden to Prince Maximilian of Saxony and Princess Carolina of Parma.

    December 6, 1803: Maria Josepha Amalia of Saxony, Queen of Spain, was born in Dresden to Prince Maximilian of Saxony and Princess Carolina of Parma. Their youngest daughter, she lost her mother when she was only a few months old, and she was convent-raised, sparking in her in a fierce Catholic...
Back
Top Bottom