Mwanaharakati Cyprian Musiba amedai kuwa kuna watu wasiokuwa na nia njema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, akiwataja kama "wahuni." Musiba ameongeza kuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amejitokeza kama mkosoaji ndani ya Serikali, akisisitiza kuwa si lazima wakosoaji wote watoke...
Habari za asubuhi wanajukwaa, kumekuwepo na sifa kedekede kwa Mbunge Luhaga Mpina kwa kinachoitwa uzalendo na uchapakazi. Lakini kinyume na wengi humu, sijawahi kukubali aina za siasa za Mpina sababu ni opportunist tu na hana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko.
Hapa chini nimeweka video Mpina...
Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.
Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki.
Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI...
Bunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo, ikimaanisha kwamba ushahidi alioutoa Bashe, ambao uko wazi sana ni jinsi gani Bashe alidanganya, unaonwa...
MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU MADALALI WA SUKARI TANZANIA
Sugar Catels wamechachamaa, wanatumia kila mbinu ili wafanikiwe kubaki na 'monopoly right' ya kuamua bei ya sukari iweje nchini
Maswali ya kujiuliza;
1. Kwanini wanalipa watu mamilioni ili kujaribu kukwamisha mabadiliko ya sheria ya...
Copy & Paste kutoka Kigogo Media
LUHANGA MPINA ANASUKUMA AJENDA YA MAJIZI NA "MA -CARTEL" YA SUKARI TANZANIA
NATAKA NIANZE kwa kusema suala la tatizo la sukari Tanzania halitakaa liishe kama tutaendelea kuwaacha ma cartel wa sukari wakiongozwa na mmiliki wa kiwanda cha sukari cha Kagera...
katika wasilisho lako la leo Mh. Spika ulikuwa na nafasi ya kumuadabisha Mpina moja kwa moja lakini kwa kuzingatia utawala bora bado umeruhusu kamati zipitie hoja zake, na hoja ya utovu wa nidhamu wake ili utende haki. wengine wangedhani unajivua kuonekana mbaya, lakini huo ndio uongozi wa...
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu sio kuwa namchukia Mheshimiwa Mpina au napingana na uhuru wa kutoa maoni.
Nimeleta hoja hii ili nipate majibu kutoka kwake kutokana na kauli zinazoikosoa Serikali huku nyingi zikiashiria kuwepo kwa ufisadi ndani ya Serikali ya Rais Samia.
Kwamba ni kweli...