Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure
TAHADHARI [emoji91]
Ewe mmiliki wa gari Kuwa makini na gari yako unampa fundi gani Kuna sakata La kuibiwa MASEGA Kipindi hiki gari inakosa...
Obs Company tupo kwenye wiki ya CV JOINT
Karibuni wote wana JF wanaopenda kununa spare za magari
kwe bei ya Jumla , Mzigo wa CV joints umeishaingia Dukani
karibuni dukani kwetu mjipatie Spare za Magari kwa bei ya jumla
sawa kama bure
Spare zetu za magari ni Mpya kabisa
na imara kwa matumizi...
Mzigo Mpya Umeingia
Shock dust Cover za Ist ZImeingia jaman
bei ya Jumla ni kama Bure .. karibuni dukani
tunawauzia kwa bei ya jumla kuanzia Pc 4
tupo kariakoo
mtaa wa Swahili na Udowe
Kwa Mawasiliano nipigie au nicheck whats app
+255 766 999 775
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako...
Wakuu kwema humu?
Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani tena?
Mfano umenunua gari leo afu baadaye unagudua hizo gari hazizalishwi tena, je spare...
Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk.
Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma.
Jumla na rejareja.
Pia tuna battery zenye ubora wa hali ya juu.
Wakuu nataka kuanza hii biashara ya spear za magari used na new mwenye uwelewa wahii biashara anijuze maana naskia lazima mzigo ukitaka upate faida nzuri inabidi uwende Dubai mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.