Wakuu nilikuwa nataka ninunue hii mikeka mbao (SPC Flooring) kwa ajili ya nyumbani kwangu ila kwenye mchakato ndo nikaona mbona hii kitu inataka kuwa fursa ya biashara?
Hii PVC flooring huambatana na vitu kama Wall Panels zinazotumiwa sana kama decoration kwenye majumba. Kimsingi kuna items...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.