Habari zenu wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj.
Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane. Nipo kahama kwa sasa.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.