spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  2. J

    PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  3. Chifu mkuu

    Wasira afanya mazungumzo na spika wa Cuba

    By Maulid Mmbaga , Nipashe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM Wasira amefanya mazungumzo na ujumbe...
  4. U

    Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  5. JanguKamaJangu

    Spika Tulia Ackson alivyofungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu taarifa za utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) na...
  6. M

    Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  7. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  8. B

    Pre GE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
  9. Lady Whistledown

    Liberia: Spika ahojiwa baada ya Bunge kuchomwa moto

    Spika wa Bunge la Wawakilishi ambaye yupo kwenye mvutano wa Kisiasa, amehojiwa na Polisi baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya Bunge la taifa hilo la Afrika Magharibi Moto huo umeharibu kabisa ukumbi wa pamoja wa Bunge, lakini hakuna mtu aliyekuwa ndani ya jengo wakati wa tukio, huku Polisi...
  10. Waufukweni

    Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, waliopata ajali ya gari mkoani Dodoma wakati wakielekea kwenye...
  11. D

    LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  12. saidoo25

    Dkt. Tulia unavuna ulichopanda usiwalaumu Mawaziri

    Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza...
  13. D

    Shida ya nchi hii tuna wabunge vilaza wakiongozwa na spika. Eti spika anashadadia ajira za kunitolea. Hii ni failure ya serikali kabisa

    Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli. Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi. Halafu mobunge...
  14. R

    Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

    1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA Wewe unasemaje?
  15. F

    Spika Tulia amezoea kulindwa na chama tawala hajazoea kusimama kwenye hoja na haki na hilo limeonekana wazi

    Ni kazi nyepesi sana kuwa spika wa bunge la Tanzania pengine kuliko nchi nyingine za Africa. Licha ya bunge letu kutokuwa na watu wenye weledi mkubwa (critical minds), pia bunge la Tanzania huendeshwa kibabe na spika hulindwa na chama tawala. Sasa inapotokea spika wa bunge kama hilo anakuwa...
  16. 4

    Leo niungane na Tulia( spika wa bunge feki tz )

    Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake . Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii . OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa...
  17. Tulimumu

    Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu. Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au...
  18. Huihui2

    Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

    Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa. HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE. Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  20. JanguKamaJangu

    Spika wa Bunge apitisha hoja ya Kumtoa madarakani Naibu Rais kujadiliwa Bungeni

    Baada ya wabunge 291 kuunga mkono hoja ya Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua kuondelewa madarakani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kenya, Moses Wetang'ula ameidhinisha hoja hiyo kujadiliwa akisema sababu zote 11 zinakidhi vigezo vya kikatiba. Hoja hiyo imewasilishwa bungeni jioni hii na...
Back
Top Bottom