Spika wa Bunge la Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Vital Kamerhe amejiuzulu muda mfupi kabla ya kufanyika kwa kura ya maoni iliyolenga kumwondoa madarakani. Akitangaza hatua hiyo Septemba 22, 2025 Kamerhe aliwaambia wabunge kuwa uamuzi wake ni “sadaka” ya kuzielekeza tena juhudi za...