1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA
Wewe unasemaje?
Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe.
Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha mafuta GPB akìwa anaendesha mwenyewe
Watu wanauliza mbona mama Sitta amepewa dreva na gari la...
Juan Guaidó ambaye aliungwa mkono na mataifa ya Ulaya mwaka baada ya kushindwa uchaguzi mkuu wa Urais na Nicolaus Maduro aliungwa mkono na mataifa yakimagharibi kuanzia Marekani na washirika wake wa Umoja wa Ulaya na kutangaza kuwa wao wanamtambua Juan Guaidó kama Rais wa taifa la Venezuela na...
Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya mishahara wake aliopokea kama spkika,diplomatic passport .
Kwa subwoofer aliyejiuzulu itakuwaje?
Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile.
Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.