spika tulia ackson

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Video: Spika Tulia akiwa anacheza kwenye hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 jijini Mbeya

    Wakuu, Msanii Mabodo Afrika akitoa burudani maalum kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 wa Jiji la Mbeya. Tukio hili linafanyika katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe.
  2. Spika Tulia Ackson alivyofungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu taarifa za utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) na...
  3. Pre GE2025 Spika Tulia Ackson: Natamani kumuona Manara bungeni. Naibu Spika akistaafu siasa nitamshauri Manara akagombee

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Unajua kule bungeni...
  4. Spika Tulia kwanini asiwasaidie watanzania kimya kimya kama ana nia njema? Picha alizopigwa huyu bibi kumshukuru Tulia zinafikirisha

    Wakuu, Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa? Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma? Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu...
  5. D

    LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  6. C

    Pre GE2025 Mbunge wa CCM Moshi Mjini, Priscus Tarimo aishtaki Bendi ya Polisi kwa tuhuma ya kufanya siasa

    MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
  7. Pre GE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  8. K

    Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

    Siku kadhaa zimepita Dkt. Tulia Ackson alikataa bunge lisijadili hoja ya watu kutekwa na kusema kuwa siyo Kila anayepotea ametekwa hivyo ona amekuja kuumbuka. Kwa kifo cha mzee wa watu. Kwa kulinda heshima yake alitakiwa achukue hatua ya kustafuu. PIA SOMA Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya...
  9. B

    Haijapita Hata Wiki Tangu Spika Tulia Ackson na Mahakama Kuu kusema Habari za Utekaji ni dhana tu

    Kwa sasa ukitetea au kupaza Sauti juu ya kinachoendelea na wewe unakuwa kwenye Target List. Mbunge mmoja wa viti Maalum alitoa hoja juu ya kukithiri watu kuuawa, kupotezwa, kutekwa na watoto wakiwemo. Lakini kwa Mshtuko Mkubwa Dr Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ww Tanzania...
  10. Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

    Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola. Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni...
  11. Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu...
  12. K

    Wasiomuelewa Hussein Bashe kwenye sukari waelewe swali la Dkt.Tulia

    Kitu kitakachokumbukwa sana kwenye bunge la bajeti mwaka huu 2024 utakuwa mjadala wa sukari kati ya Mpina na Bashe. Dkt. Tulia ameuliza swali la msingi sana kuhusu muda ambao viwanda vyetu vinahitaji ili viweze kuzalisha sukari kwa utoshelevu na hatimaye bei iwe sawa na nchi zilizotuzunguka...
  13. Wabunge wenye Hekima, waazimie kumfukuza Spika Tulia

    Nchi hii, kuna watu wengi wenye elimu nzuri na akili pia, LAKINI unafiki wao na uchawa vimewafanya wapoteze weledi na akili ya reasoning na argument, kiasi cha kuwafanya waonekane kama ni watu wasio na weledi wala uelewa. Tambueni kuwa Spika Tulia ni mwanasheria, tena mwenye shahada tatu kwenye...
  14. M

    Mwanasheria Phillipo Mwakilima amtaka Spika Tulia Ackson aache kuchanganya sheria na siasa

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo. Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
  15. Kwa hili la Mbunge kwenda Dubai bila kujua dhumuni la safari, Spika anatakiwa kujiuzulu!

    Kama analolisema huyu Mbunge ni kweli basi Spika wa Bunge jiuzulu tafadhali. Soma >> Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini Mbunge anasema alisafiri mpaka Dubai hajui anaenda kufanyaje? Kweli Kodi zetu mnazitumia...
  16. U

    Maswali magumu: Ansbert Ngurumo asema, Spika Tulia Ackson anajua kuwa tayari HGA zilishasainiwa na serikali hata kabla ya bunge kuridhia IGA!

    Fuatilia video hii hadi mwisho. Maswali muhimu; Nini kipo nyuma ya hii IGA? Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu? Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
  17. Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  18. Spika Tulia Ackson anapingana na Rais Samia? Kati yao nani tumsikilize na kumuamini?

    Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote kwa sasa ndiyo wakuu wa mihimili hiyo baada ya watangulizi wao mmoja kufariki na mmoja kujiuzulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…