spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

    Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
  2. CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

    Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama changu-nikishirikishwa mipango mbalimbali ya kichama na kiserikali katika kushauri na kuitekeleza...
  3. 5

    Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  4. Mbunge ataka taarifa za zuio la bodaboda lijadiliwe kwa dharura Bungeni, Spika aikataa hoja

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam. Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
  5. Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  6. Baba Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Uganda asema mwanaye alipewa SUMU iliyosababisha kifo chake

    Nathan Okori ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah amesema Mtoto wake (Spika Jacob) alipewa sumu ambayo ndio imesababisha kifo chake. Mzee Okori ametoa kauli hiyo leo wakati wa shughuli za mazishi ya Spika Jacob. "Sitaki niomboleze na kulia kwa ndani tu...
  7. Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  8. Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

    Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi. Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10. Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika. Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea...
  9. Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge la Uganda afariki dunia

    Rais Museven kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametangaza kifo cha Spika wa Bunge wa Uganda Jacob Oulanyah. Museven anaeleza kuwa kifo hicho kimetokea leo majira ya saa 4:30 asubuhi kwa Ukanda wa Afrika Mashariki. Taarifa zinaeleza kuwa Jacob Oulanyah alikuwa nchini Marekani kwa...
  10. Spika Tulia amtembelea Profesa Jay, asema afya yake inaendelea kuimarika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Halima Mdee, Bi. Theresia Mdee ambao wamelazwa na kupatiwa matibabu katika...
  11. Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

    Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?
  12. P

    Kuna anayejali kuhusu mahali alipo Job Ndugai?

    Wadau kwema. Poleni na majukumu. Nina hasira sina kazi maisha ni kama yamenipiga. Serikali itukumbuke graduate. Tuna huzuni kuu. Uh apart from hayo nijielekeze kwenye mada. Ni muda umepita tangu ndugu spika aliejiuzulu hajaonekana kwa uwazi. Ako wapi jamani. Kwa wanaofahamu kumhusu wanijuze...
  13. Spika Dkt. Tulia awatahadharisha Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge kutoshawishiwa na asasi za kiraia

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge kuwa makini kuepuka kuingizwa kwenye mitego ya kudanganywa na asasi za kiraia zinapotaka ushawishi wa chombo hicho kupitisha ajenda fulani kwa utashi na maslahi yao. “Bunge huwa ni chombo ha ushawishi...
  14. Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  15. Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!

    Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali: “Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa haramu halafu akawepo mule ndani. Nchi yetu inaendeshwa Kidemokrasia na Kisheria. Jambo moja tu...
  16. Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
  17. Bunge: CCM pekee ndiyo imewasilisha jina la Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika

    Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge. Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho...
  18. Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

    Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania. Nafasi hii imekuwa wazi baada...
  19. J

    Abdulla Ali Mwinyi: Ninagombea nafasi ya Naibu Spika, tuziache mamlaka husika zitimize taratibu kisha Wabunge wapige kura

    Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha. Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga...
  20. Mbunge wa Maswa naye achukua fomu ya Naibu Spika

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…