Salaam ndugu zangu wa JamiiForums.
Mimi ni mmoja wa member katika jukwaa hili kwa kipindi kirefu sana na nimekuwa nafatilia jukwaa hili kila siku, Yaani nikifika tu ofisini jambo la kwanza ni kufungua jukwaa hili ili ku refresh mind na kupata madini kadhaa walau dk 15 then kuendelea na majukumu...