Bila kupoteza muda mimi ni mkulima napambana kujikwamua kimaisha, ingawa sisi wakulima tunadharaulika sana ila tukazeni tu ipo sku tutaheshimika.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, mwenye kutaka au kujua soko lilipo kwa vtu kama pump za kupulizia dawa (sprayer pump 16L), au ndogo...