Mgombea Urais wa Marekani Rais mstaafu Donald Trump amekuwa consistent na hoja yake (pia hajaikanusha)aliyoitoa wakati wa mdahalo kwamba katika mji wa Springfield Ohio wananchi wanakula paka na mbwa.
Baadhi ya vyombo vya habari nchini marekani ambavyo mara nyingi Trump huviita kwa jina la fake...