ssd

  1. Binadamu Mtakatifu

    Computer inauzwa bei 230k ram 8, ssd 128

    Bei ni 230k nipo dar Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita) Ram 8GB, Ssd 128, Battery 3hrs Bei maelewano
  2. Nyamwage

    SSD 128 itatosha kwa windows

    Nina HDD 1tb nimeongeza na 128gb SSD kwa ajili ya Windows na system ili kuwezesha PC kuwaka haraka na kweli mabadiliko nayaona PC inawaka haraka na inakuwa tayari kwa matumizi bila ya kuirefresh nimeweka na game moja humo kwenye 128 SSD lina 28 gb tangu hapo sijainstall kitu chochote humo kwenye...
  3. Jumanne Mwita

    Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  4. R

    Computer4Sale Nauza Dell Laptop Latitude 5300, core i5, Ram 8GB SSD 500GB. 8 generation

    SPECIFICATION Model : Dell Latitude 5300 Processor: Core i5 Ram : 8 GB SSD : 500 GB Size : Inch 14 Generation : 8 Window : 11 Screen: Normal and Touch screen Bei : 500,000/= Computer ni used ila ipo kwenye ubora mzuri sana kama mpya. Inakaa na charge zaidi ya masaa kumi ukitumia mfululizo. Ina...
  5. sky soldier

    Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  6. Mpetde

    Nini tofauti ya SSD, Cloud Storage & Virtual Storage?

    Mkuu The bump Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Virtual storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Tunaomba maelezo yaliyojitosheleza maana nimefanya km...
  7. The bump

    All in one HP Envy 20TB plus 2TB SSD inauzwa

    Computer ya HP all in one inauzwa ina internal Storage ya SSD 2TB na EXTERNAL STORAGE ya 18TB. Computer iko very perfect nzuri inavutia Mayai classic. Screen Touch yenye ukubwa wa inch 27 RAM 16gb Storage 20tb Core i7 (8th Gen) instaled window 11pro Kasoro zake Wireless keyboard yake na...
  8. luangalila

    Kwanini Computer za siku hizi zina SSD ndogo ndogo?

    Wadau najiuliza kwann siku izi computer nyingi unakuta storage yake ni 256 yaan imekuwa common Unakuta mashine ina processor kubwa ila storage ndogo. Watalaam naomba mnijuze
  9. Mpinzire

    INAUZWA Jipatie SSD SATA (SATA III) 512 GB kwa Tsh 100,000/= tu

    Kwa wale ambao Computer Laptop au Computer Desktop zao ni nzito mpaka unahisi kero usijali. Mzigo huu hapa SSD SATA III GB 512 kwa Tsh 80,000/= tu unafurahia maisha kwa Computer yako kuwa chap! Napatikana Dar es Salaam, Lindi na Msimbazi Street (Kariakoo) #0622901670
  10. R-K-O

    Kuongeza ufanisi wa pc kwa bajeti, Je ninunue SSD GB 128 kwajili ya windows kisha niigeuze hdd ya 1 tb kwajili ya storage au ni lazima iwe 1TB SSD ?

    Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd. laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb. nimeona speed ya pc imepungua si kama...
  11. monotheist

    SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

    Nimeambatanisha na picha kwa upande wa ndani wa desktop
  12. J

    INAUZWA HDD, SSD, RAM vinauzwa bei poa

    Vimeuzwa, asanteni
  13. Complex

    Computer4Sale Jipatie Computer Yenye SSD Storage, RAM 8 GB kuanzia 349,000 Pekee

    Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana teknolojia. Ozone Technologies imerudi tena kivingine katika mwaka huu wa 2023 kuhakikisha kila mtu anakuwa na Computer mpakato yenye kasi na ufanisi. Ili wateja wetu wapate kufurahia kasi ya computer watakazonunua kutoka kwetu, tumehakikisha computer zetu...
  14. Mpinzire

    Karibu nikuuzie M.2 SSD kwa Ofa ya Mwaka mpya

    Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa. Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja. Description ● PCIe Gen3 x4 interface ● Fast read/write performance ● Heat sink keeps things 15% cooler ● Great upgrade option for creators ● High capacities ● Supports...
  15. Complex

    Computer4Sale Jipatie laptop yenye SSD storage, Core i5, RAM 8GB kuanzia 369,000 tu

    Karibu tukuhudumie. Laptop zetu zote zina SSD storage, 8GB RAM. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana Machinga complex floor ya pili. Tupigie ama tutumie message whatsapp kupitia namba zetu 0753555055 ama 0714894798. Instagram kwa picha zaidi ozonetechnologiestz Laptop ni refubrished, lakini zetu...
  16. Complex

    INAUZWA Pata SSD aina zote na RAM kuanzia 69,000. SSD na RAM zetu ni Mpya kabisa

    Habari zenu wadau. Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba wewe ndiwe utakuwa mtumiaji wa kwanza. Pia kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu, Kwa SSD tunakupa...
  17. Artifact Collector

    Computer4Sale Nauza laptops Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/=

    Laptops dell-Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/= Zipo nyingi kama inavyoonekana kwenye picha
  18. H

    Jipatie SSD kwa ajili ya laptop na desktop yao kwa bei nafuu

    nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
  19. elivina shambuni

    Faida ya mabadiliko ya Mfumo wa Utendaji wa TANAPA kutoka katika mfumo wa Kiraia kuwa Jeshi-USU

    Mabadiliko ya Mfumo wa Utendaji Kazi wa shirika kutoka Kiraia kuwa Jeshi-Usu Chini ya uongozi wa awamu ya tano, TANAPA imeweza kufanya mabadiliko makubwa katika eneo la mfumo wa utendaji kazi kutoka ule wa Kiraia kwenda Jeshi-Usu. Muundo mpya wa Shirika uliidhinishwa na Mheshimiwa Rais wa...
Back
Top Bottom