Mkuu The bump
Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo
SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?
Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?
Virtual storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?
Tunaomba maelezo yaliyojitosheleza maana nimefanya km...