Kwenda: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania – TCU 23 Julai 2024
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph kilichopo Mbezi Luguruni, Dar es Salaam, ambacho kinatoa kozi mbalimbali za sayansi, ikiwemo udaktari. Dhumuni la barua hii ni kuomba Taasisi yako tukufu kutembelea na kufanya ukaguzi wa matatizo...