Sekta ya ajira nchini Tanzania inalazimika kukabiliana na changamoto kadhaa, ikiwemo upungufu wa wafanyakazi wenye stadi na ujuzi unaotakiwa katika soko la ajira. Hili limekuwa ndio changamoto kubwa zaidi ambayo inahitqji kuangaliwa kwa umakini mkubwa katika miaka ijayo kuanzia miaka 5 hadi...
Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha.
Elimu ni sekta muhimu katika kuzalisha wataalamu na wahudumu mbalimbali wenye ufanisi na stadi mbalimbali ambazo...
Katika historia ya elimu yetu Tanzania kuliwahi kuwa na somo la stadi za kazi kwa shule za msingi ambalo lilikuwa msingi mzuri kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za ufundi.
Somo hilo lilifutwa miaka kati ya 1997,1998,1999 na hakuna mbadala wake katika kuendeleza vipaji vya ufundi kwa wanafunzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.