staff

A military staff (often referred to as general staff, army staff, navy staff, or air staff within the individual services) is a group of officers, enlisted and civilian personnel that are responsible for the administrative, operational and logistical needs of its unit. It provides bi-directional flow of information between a commanding officer and subordinate military units.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamii Opportunities

    3 Technical staff at Mtwara Halotel

    JOB DETAILS: Description 1) Ensure the site management safety and working normally Setup lock for fence, machine room, tank fuel and generator. Clean the site: inside machine room, fan, the face of equipment. Check all alarm at site: • Cooperate with NOC to test external alarm 1 Ɵme / month...
  2. Kichuguu

    Max Nzegeli ni Chief of Staff wa Yanga

    Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
  3. OMOYOGWANE

    Chief of staff wa Makamu wa Rais Dkt. Mpango ni nani?

    Hellow wakuu, Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of staff. Chief of staff ndio mtu wa karibu zaidi na boss yeye ndiye huhusika na mipango yote ya Mheshimiwa...
  4. kyagata

    Kuna ofisi ukizitembelea unakuta 'staff' wake wanatia huruma sana kwa kweli

    Leo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa. Kwanza getini ile unaingia tu mlinzi anakuomba buku la maji. Ukiingia ndani unakuta staff muda wa lunch wamelala...
  5. Braza Kede

    Unatumia mbinu gani kudhibiti staff wako wasikuibie?

    Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja. Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio? NB1: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio...
  6. green rajab

    Chief of Staff wa IDF amekoswakoswa tena wanne wauwawa huko Jabalia

    Mnadhimu wa Jeshi la Wanamgambo Israel amekoswakoswa na kuuwawa baada ya nyumba aliyokuwemo kulipuliwa na Wanajeshi wa Hamas. Lt Gen Halev alikua katika majukumu yake ya kukagua wanamgambo katika uwanja wa vita.. Shambulio hilo limeondoka na wanamgambo wanne. BREAKING: HAMAS TARGET HOUSE WHERE...
  7. Stuxnet

    Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

    Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
  8. A

    Taifa stars technical staff angalieni umuhimu wa hawa

    Uhalisia uwekwe peupe.
  9. CYTON TECH

    Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  10. babajeska

    PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
  11. Bani Israel

    Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
  12. M

    Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

    Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama. Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0 kwa timu ya beloizdad kutoka kwa yanga, bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imetoa adhabu kali kwa...
  13. T

    NMB Direct Sales Staff Aptitude Test

    Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff. 1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi? 2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani...
  14. JF Member

    Kwanini January Makamba akipewa wizara anafanya mabadiliko ya staff wengi?

    Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi? Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini? Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
  15. M

    Posho za Staff wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania

    Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya Taasisi zingine Na mashirika Mengine ya Umma?
  16. Shark

    Yanga Staff vs Wasanii; Huyu Golikipa H. Kidiaba JR anaujua. Anatokea wapi?

    Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
  17. JanguKamaJangu

    Wafanyakazi wa Ikulu ya Kenya kuanza mfungo wa kutokula ili kuombea Nchi

    Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe wametambulisha mfumo mpya wa kufanya maombi kwa ajili ya Nchi hiyo kwa kufunga kutokula na kufanya maombi mara moja kwa wiki ikidaiwa kuwa utaratibu huo pia unaweza kuanza kutumiwa na wafanyakazi wa Ikulu. Utaratibu unatarajiwa kufanyika kila Jumatano ambapo...
  18. chichikande

    Msaada, mwenye levelling staff

    Naomba msaada kama kuna mtu ana levelling staff au anajua mahali naweza kupata, iwe used au mpya ila kwa bei chee (bei ya kirafiki). Nina shida nayo very soon. Asanteni.
  19. L

    Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

    Mfano: Ngazi ya degree Admission officer Examination officer Warden e.t.c Ahsante
Back
Top Bottom