staha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kwanini mahabusu hawasafirishwi kwa staha wanapopelekwa mahakamani?

    Sioni sababu ya kuwasafirisha mahabusu kwa namna inayofanyika hivi sasa. Mahabusu wanasafirishwa na magari ya polisi huku wakiwa wamechuchumaa. Kwann lisitafutwe gari ama minibus zuri lenye AC wakaketi wote na kupewa magazeti wayasome wakati wakielekea mahakamani? Hatuoni kuwa kama taifa...
  2. Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
  3. Dini na Staha vs Ushenzi!

    swali: kwa nini wote wanaofanya ushenzi mitandaoni na kutukana na kudhalilisha watawala tena kwa matusi ya nguoni ni waislamu? I mean these people have no boundaries je, imetokea tu au kuna tatizo na waumini wa kiislamu wa tanzagiza kwamba hata uislamu hawauelewi? kusingizia kabila nakataa kwa...
  4. D

    Kujiuzulu kimyakimya ni kulinda Staha, Ukiomba kibali kujiuzulu unatumbuliwa

    Iko hivi katika siasa! Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya! Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura! Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
  5. Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

    Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh. Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu. Makonda anaweza...
  6. RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

    Hello JF, Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo. Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali...
  7. Je mwenye kutulia ametulia na staha tulivu, na ana ufikiri , ushauri na maamuzi tulivu kwenye siasa?

    Wasalaam JF, Kimya chenye mshindo hubeba dhana ya uzito wa tatizo, na kiwango Cha dhoruba kinampata. Kuna sehemu mpaka Leo pameandikwa. "Usikonjoe hapwa" na bado watu wanakonjoa pale. Ni hayo tu Tulia na utatulizwa Ndio mimi Wadiz
  8. Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  9. Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima...
  10. Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

    NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!! Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
  11. M

    Chakula kipo tu. Tuleni kwa staha

    Chakula kilikuwepo, kipo na kitakuwepo tu. Kwa iyo tule kwa staha tu. Iwe jioni, usiku ama alfajiri. Siyo kuparamia na kufakamia matokeo yake kuvimbiwa na kukinai halafu kukimwaga. Wakati kuna wasiojaliwa kukipata wanalala njaa. Chakula hakitaisha kitakuwepo tu hakitaisha.
  12. S

    Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake. Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.
  13. Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

    .Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge. .nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo 1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa...
  14. Rais Samia 'akunwe kwa staha' suala la bei za mafuta

    Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia. Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza. Samia akunwe kwa staha na yeye...
  15. Kukosekana kwa staha kwa baadhi ya viongozi wa mihimili ya serekali kudhibitiwe haraka.

    Inanisikitisha Sana Kwa baadhi ya viongozi ya baadhi ya mihimili kuropoka ropoka kana kwama hakuna sehemu mahususi ya kujadili pale tunaposhindwa jambo Fulani kulielewa ingali wote sisi ni watu wa chama kimoja CCM, tusipo dhibiti hali hii ya kuongea hovyohovyo ipo siku tutakuja...
  16. Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

    Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
  17. K

    Tuongozeni kwa staha ili tuwakosoe kwa staha!

    Tanzania iko kwenye tanzia, ikiomboleza kifo cha tozo-stahimilivu na kufufuka kwa tozo-kandamivu kwenye miamala ya mitandao ya simu. Naam, tumefikia zama ambazo ukiona meseji ya M-pesa inabidi usonye na kumlaumu mtumaji kabla ya kuifungua. Yote hiyo ni kukwepa makato makubwa ya tozo za miamala...
  18. K

    Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, naomba nikukosoe kwa staha; usingilie Mahakama

    Udhalilishaji na Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa katika nchi yetu, sote tunawajibu wa kuwafichua wadhalilishaji. Natoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini yoyote atakae kamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya au udhalilishaji nasisitiza asipewe dhamana. Ziara: Donge Chechewe Huu ni ujumbe...
  19. B

    Tuzikatae lugha zisozokuwa na staha kwenye mambo ya msingi

    Kama Taifa tuna mambo ya msingi sana mbele yetu kutumia muda wetu kurushiana matusi. Bila ya kujali itikadi zetu tuyakatae yote yanayodhalilisha utu wa mtu, bila ya kujali mlengwa au mlenga kwa cheo, mhusika au chama. Mambo kama haya: Kauli kama: 1. "Tulizo Mat*ko wewe!" 2. "U baji na M@vi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…