WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa taasisi wahakikishe kuwa madereva wao wanapatiwa stahiki zao ikiwemo posho za safari, sare za kazi na mafunzo wawapo kazini.
"Wakuu wa taasisi hakikisheni madereva wanapata stahiki zao kikamilifu kwa kuzingatia sheria. Ni muhimu posho ya kujikimu...