stakabadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, watajwa kuwa chombo muhimu kuongeza ushindani wa bei na kuwahakikishia wakulima masoko ya uhakika

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amesema mfumo wa Stakabadhi za Ghala, umeendelea kuwa chombo muhimu katika kuimarisha urasimishaji wa biashara ya mazao kwa kuweka uwazi, kuongeza ushindani wa bei na kuwahakikishia wakulima masoko ya uhakika. Dkt.Jafo,ameyasema hayo leo...
  2. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  3. Roving Journalist

    Wananchi wafunga Barabara ya Babati/Singida wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
  4. N

    DOKEZO NFRA inahujumu mfumo wa Stakabadhi Ghalani

    Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa, yaani NFRA ni Taasisi iliyoanzishwa mahsusi kuhakikisha kuna kuwepo na Hifadhi ya Mazao ya Chakula muda wote Nchini. Hununua mazao ya Chakula, kuyahifadhi, kuyachakata, kuweka kwenye Vifungashio na Hatimaye kuuza ndani na nje ya Nchi. Mazao ya Chakula...
  5. V

    Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbaazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto, Manyara

    Hali ya kushangaza na kustajabisha Katika zoezi la Mnada wa zao la Mbaazi. Kuna ufisadi mkubwa umefanyika Katika ununuzi wa Mbazi kutoka kwa wakulima wilayani Kiteto. Mnada wa kwanza na waoili kuna tani zaidi ya 150 zilichukuluwa kwa wakulima na kupakiwa kwenye Malori direct kutoka kwenye...
  6. Dr Msaka Habari

    Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za ghala (WRRB), yatoa mafunzo ya utekelezaji wa mfumo wa stakabadhi wa ghala

    Mafunzo hayo yanayofanyika kila mwaka nchini yenye lengo la kuwajenga uwezo Watendaji wa Kampuni za waendesha ghala, Wasimamizi wa Ghala, Meneja Dhamana pamoja na washiriki binafsi yamefunguliwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hashim Komba leo Tarehe 28 Agosti 2023, katika ukumbi wa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine.

    Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine. Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi kuzingatia maagizo ya Serikali ya kukamilisha taratibu za kuanzisha Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine...
  8. N

    DOKEZO Morogoro: Mahashrey na wafanyabiashara wa ufuta wanavyoshirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kuhujumu mfumo wa stakabadhi ghalani

    Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
  9. MK254

    Siri za zavuja stakabadhi zinazoonyesha Urusi ilipanga kuiteka Ukraine kwa siku 10

    Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi. A British defence and security think tank has revealed details of Moscow's pre-invasion plan for Ukraine...
  10. N

    Morogoro: Mkuu wa Mkoa asitisha mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuwabeba walanguzi

    Hii ni habari ya kusikitisha kwa Wakulima na hujuma kubwa toka kwa Mkuu wa Mkoa, mtu aliyetegemewa kuwasaidia wananchi sasa amekuwa mkandamizaji kwa wananchi. Kwa takribani mwezi sasa kumekuwa na juhudi toka kwa wafanyabiashara wahindi na madalali wao wa kuzuia mfumo wa stakabadhi ghalani...
  11. IZENGOB

    Stakabadhi ghalani ni kupe kwa mkulima

    Mfumo huu ni umekua ni wa hovyo sijawahi kuona.Fikiria mkulima amejinyima kula vizuri,kuvaa na watoto wake lakini leo hii mkulima anakuja kumkopesha tajiri ambaye ana mali kedekede inauma sana. Zaidi ya mwezi sasa tangu niuze mazao yangu kwa mfumo huu ambao serikali imeshindwa kuusimamia...
  12. J

    Tahadhari: Haribu Stakabadhi ya ATM baada ya kuitumia

    Unashauriwa kuharibu kwakuwa inaonesha jina la Benki, Namba nne za mwisho za namba ya Akaunti, kiasi kilichotolewa na kilichobaki. Taarifa hizo zikifika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuunganisha na taarifa nyingine na kufanya ulaghai kupitia wewe.
Back
Top Bottom