Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje.
Barabara hiyo ni kiungo...
Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024, Shirika la Madini Tanzania STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo;
Kampuni ya Fluxing Resources ya Chemba - Dodoma yenye thamani ya shilingi milioni 650, mgodi wa Shanta Gold Mine - Singida yenye thamani ya...
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 13 Oktoba limenyakua Tuzo ya Jumla (Overall Winner) kwa upande wa sekta ya umma kwenye Maonesho ya Madini yanayofikia tamati leo mkoani Geita.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgeni Rasmi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.