Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh - Babati. Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh...