Hello! It's lennie here ,
Stand with amal ni complain iliyoanzishwa na kiredio huko Instagram kwaajili ya kupata 100 million zitakazotumika kumtibia mtoto amali nchini India,
Mtoto amal anasumbuliwa na ini na at least wanahitajika watu 10000 watakao changia buku tu ili kuipata 100 million...