Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona anaingia kwenye SGR train, kuona rangi ya behewa nikajua ni zile SGR zetu lakini wahudumu kidogo rangi...