star x

  1. Jemima Mrembo

    Natafuta motherboard ya Star X TV inch 32

    Happy Valentino Day to you all. Natafuta motherboard ya Star X TV inch 32. Nitaweza kupata kwa bei gani? Asante.
  2. daraja la kigamboni

    Msaada: Star X smart TV kuunganisha na simu

    Habari za weekend wataalamu Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
  3. kagombe

    Star X hiyo inatakiwa display mwenye nayo tuyajenge

    Nahitaji hicho kioo mwenye nacho njoo tuyajenge
Back
Top Bottom