starlet

  1. U

    Nahitaji gari aina ya Starlet

    Habari wandugu naulzia gari aina ya ya starlet kwa anayeuza. Natanguliza shukrani. Model kama hiyo hapo chini
  2. Dr. Zaganza

    Nahitaji Starlet Used

    Habari wakuu Nahitaji starlet used ,iwe kwenye hali nzuri. Niko Kibaha Maili moja piga 0713 039 875
  3. dalali Tambwee

    Car4Sale Toyota starlet inauzwa

    Toyota starlet inauzwa Bei million 4.3 Cc 1300 Gari ni nzuri Full ac Ipo dar es salaam 0784020604
  4. Russia is not your enemy

    Starlet zimeishia wapi na kwanini wakati ipo economy?

    Ndg wana izengo habari za wakati huu. Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy. Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu na kukwaa ajira walikamata hivi vidude, nilikuwa nikiwaza kwa nn wajuba wanachukua vibati hivi...
  5. AUTOMASI COMPANY LIMITED

    Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  6. Nyuki Mdogo

    Car4Sale Starlet imenyooka. Njoo na milioni 3

    STARLET IMENYOOKA FULL AC MIL 3 PIGA 0713096076 Dar tabata
  7. saci

    Je, ni sahihi kwa starlet yenye cc1300 kutembea kilomita 8 kwa lita moja ya petroli?

    Wataalamu naombeni jibu maana nahisi iinakula sana wese. nikitumia harrier inakula lita 4 kwa 40km, starlet si ndogo ya harrier?
  8. chiembe

    Sisi Team Polepole kinachotuuma ni mtu wetu kunyan'ganywa V8, yaani hatukubali komredi apande starlet

    Tunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye
  9. D

    Starlet Glanza

    Wakuu kwema, Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
  10. MATEGUZYO

    Naomba maoni yenu kati ya Vitz, Starlet na Suzuki Swift/ Jimmy

    Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare parts, durability, masafa marefu pasipo kusumbua
  11. M

    Anayeifahamu vizuri Toyota Starlet anisaidie

    Mwenye uelewa zaidi wa Starlet (Carat model 1999, 4E-FE engine) naomba anijuze uimara na upatikanaji wa spares nisije kupoteza pesa zangu.
  12. K

    Natufuta vitz, passo au starlet, budget Tsh4 mil

    Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga. Kwa walio serious...
Back
Top Bottom