starlink

Starlink is a satellite internet constellation operated by SpaceX, providing satellite Internet access coverage to 40 countries. It also aims for global mobile phone service after 2023. SpaceX started launching Starlink satellites in 2019. As of September 2022, Starlink consists of over 3,000 mass-produced small satellites in low Earth orbit (LEO), which communicate with designated ground transceivers. In total, nearly 12,000 satellites are planned to be deployed, with a possible later extension to 42,000. Starlink provides internet access to over 500,000 subscribers as of June 2022.The SpaceX satellite development facility in Redmond, Washington houses the Starlink research, development, manufacturing, and orbit control teams. The cost of the decade-long project to design, build, and deploy the constellation was estimated by SpaceX in May 2018 to be at least US$10 billion.
SpaceX expects more than $30 billion in revenue by 2025 from its satellite constellation, while revenues from its launch business were expected to reach $5 billion in the same year.Astronomers have raised concerns about the effect the constellation obviously have on ground-based observation of the sky (photography) and how the satellites will add to an already congested orbital environment. SpaceX has attempted to mitigate astronomy concerns by implementing several upgrades to Starlink satellites aimed at reducing their brightness during operation. The satellites are equipped with krypton-fueled Hall thrusters which allow them to de-orbit at the end of their life. Additionally, the satellites are designed to autonomously avoid collisions based on uplinked tracking data.

View More On Wikipedia.org
  1. Elon Musk: Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi Africa ya Kusini kwa sababu mimi sio mtu mweusi

    Elon Musk ameendelea na mvutano wake dhidi ya serikali ya Afrika ya Kusini kwa kusema kuwa kampuni yake ya Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi nchini humo kwa sababu yeye sio mtu mweusi https://x.com/elonmusk/status/1897954924337467555?t=qQO2IGVFCzGBWI1Vh-_Ofw&s=19
  2. Elon kamaliza kazi Simu zetu hizi zitakua na uwezo wa kushika mtandao wa StarLink moja kwa moja

    Sasa mkombozi wetu ametufikia tena. Ni jambo la kumshukuru Mungu. Jamaa yetu Elon kakinukisha huko. Mnalionaje hili wakuu, Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink. Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel. Tubaki na biashara za Miamala. Source...
  3. D

    Yas fiber ni kiboko cha speed hata starlink hawaoni ndani. check hizi speed

    Yas ni balaa na nusu
  4. Elon Musk atuhumiwa kuivunja USAID kutokana na uchunguzi wake kwa Starlink kukiuka vikwazo dhidi ya Urusi

    Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine! Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa...
  5. Rais Samia tunataka Starlink Tanzania

    Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante!
  6. Starlink inasimikwa lini Tanzania? Tuungane kwa pamoja

    Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Nchi karibu zote Afrika tayari...
  7. Progress ya application ya leseni ya Starlink

    Wakuu, kuna mwenye update kuhusu progress ya Starlink kupata leseni ya kuoperate Tanzania? Nimeapply fiber TTCL ipo meter 50 kutoka nilipo mwezi sasa unakata kila siku napigwa kalenda na kupewa sababu random yan. Starlink ije, washtuke kidogo, sio fair inakuwa kama vile hatuwalipi Wanakera
  8. S

    Gibson: Starlink Tanzania haina uhusiano na Starlink Satellite

    Kampuni ya burudani na masoko ya Starlink Tanzania Limited imekanusha vikali uwapo wa uhusiano wowote na Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayotoa huduma ya intaneti inayomilikiwa na SpaceX. Starlink Tanzania Ltd ilisajiliwa Aprili, 2019 na kumilikiwa kikamilifu na Watanzania...
  9. F

    Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  10. Smartphones can now connect directly to Starlink satellites

    Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite. Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia. ========= SpaceX and T-Mobile have secured a major victory with approval from the U.S. Federal Communications...
  11. FCC yaipa kibali Space X kulink starlink na Smartphone, ISP wa bongo mnasubili nini na kazi imewashinda Vijijini?

    FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
  12. Starlink wakipewa kibali, hii mitandao ya simu itashika adabu

    Yaani natumia router ya airtel, na Voda kwa lengo lakuwa na internet ofisini lakini kuna muda mitandao yote tabu lele,leo siku nzima inasuasua tu , Nimeamua kutafuta pocket router ya Tigo ndio angalau naweza ku access,wamenikwamisha pm zangu nyau wale,STAR LINK wapewe kibali muone utamu wa...
  13. 5G vs Starlink

    Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu. Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu Kila eneo speed, latency etc Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila...
  14. G

    Starlink katuma maombi hajaruhusiwa. Internet ina speed na gharama nafuu lakini ni ngumu kuruhusiwa kwasababu haiwezi kuzimwa wala kublock Twitter

    Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv / azam Ni mara ya pili sio mara ya kwanza starlink wanatuma maombi , mara ya kwanza walituma lakini...
  15. Huduma za Starlink Tanzania: Uchambuzi wa Bei, Kasi, Ubora, na Uenezaji

    Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali yasiyofikiwa na miundombinu ya kawaida ya intaneti. Tanzania, ikitarajiwa kuanza kutumia huduma hizi...
  16. Starlink to launch its operation in Tanzania

    What you need to know: The application marks a significant step in Starlink's efforts to expand its global reach and bring high-speed satellite internet to underserved regions of Tanzania. Dar es Salaam. Starlink, the satellite internet service provider owned by Tesla billionaire Elon Musk, is...
  17. 0

    Ipi sababu ya TCRA kuomba maoni ya wanachi kwa ujio wa Starlink? Hii haiwezi ikawa njia ya kuikataa?

    Nimeona huko TCRA wanaomba maoni ya wanachi kwenye kupitisha kibali cha Starlink kufanya kazi Tanzania Ipi sababu ya kufanya hivi na Je, hii haiwezi ikawa njia ya kuja kuikataa Starlink na kusingizia wananchi ndio wameikataa. Hatujawahi ona TCRA ikiomba maoni ya wanachi kwa makampuni kama...
  18. Fursa Mpya kwa Tanzania! Starlink Kuleta Mapinduzi ya Intaneti kwa Bei Nafuu na Ubora wa Juu

    Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania wote, na ni nafasi yetu kutoa maoni yetu chanya kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuunga...
  19. Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga, Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi ===== Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa...
  20. Satelites za Starlink zikionekana angani kutokea Dar es Salaam, Oktoba 24, 2024

    Jana usiku, majira ya saa mbili hivi, nilikuwa mahali nikibadilishana mawazo na washkaji, lakini bila kutarajia, nilijikuta macho yangu yakielekea angani ambapo yaliona kitu kilichotafsiriwa kichwani mwangu kuwa cha ajabu. Kwanza, nilidhani ni msururu wa ndege zinazopita kwenye anga la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…