startimes

  1. K

    Nimelipia kifurushi Startimes tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia

    Nimelipia kifurushi tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia Nafanyeje hapa au ndo nishaliwa?
  2. D

    Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi?

    Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi? TBC ndo napata peke yake
  3. Zero Competition

    INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes na dish lake

    Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000 Kimetumika miezi 4 tu Nipo Mbezi Luis Mawasiliano 0767696021
  4. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  5. B

    Je, Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  6. B

    Je Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  7. Jacobus

    Startimes kuna nini?

    Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani. Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi. Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa kupitia T-pesa bila mafanikio kwa maana upande wa 'Startimes'. Pesa imerejeshwa. Leo nimewasiliana na...
  8. S

    Startimes kuna tatizo gani?

    Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi Siwezi sema ni tatizo la signal strength kwamba dish imeyumba wakati local channels zinapatikana pamoja na ESPN, kama ingekua ni tatizo...
  9. snipa

    Kama Azam inaonesha channel za Startimes, kwanini Serikali isiangalie hili suala ili kutunza mazingira na kuepusha gharama kwa watanzania?

    Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes. Waelewa tatizo ni Error code 69. Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C. Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
  10. rutajwah

    Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  11. Hyrax

    TV4Sale Nauza StarTimes, 4K Smart TV inch 55''

    AINA YA TV: StarTimes MODEL: Smart TV UPANA: inch 55'' Resolution (Ubora wa picha): 4K Bei: Milioni moja na laki moja (1,100,000/- TZS) Mahali: Kimara, Dar es salaam Kama unaihitaji TV hii tuwasiliane: 0755038159 NB: Haina tatizo lolote
  12. mugah di matheo

    Startimes kampuni ya hovyo kabisa, kwa hili wajibikeni

    Achana na bei za vifurushi,achana na kuondoa local Chanel kwenye fta. Leo kupitia Chanel yao ya Tv3 walikua wakionesha mpira Kati ya Simba na raja,,wakati kipindi Cha pili kinaanza hawakurudi uwanjani mapema walidelay for 19 minutes,,,na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja...
  13. Gunst

    Startimes mmenigombanisha na mke wangu

    Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi. Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
  14. kagombe

    Dish la startimes linatakiwa chap

    Naitaji dish la startimes tu liwe ktk hali mzuri nicheck 0652500649
  15. Vitalis Msungwite

    Mfumo wa upigaji kura Startime's Best Comedy Challenge ubadilishwe

    Habari ndugu wananchi wa jamhuri ya Ukraine na Urusi. Nitangaze kuwa Mimi Ni mdau mkubwa wa vipindi vinavyorushwa na startime's channels St Swahili na St Mambo. Kilichonileta hapa jukwaani Ni kutokana na kile kilichotokea Jana kwenye mchuano wa Mang'endo na Kiredio. Kwenye ule mchuano...
  16. Jamii Opportunities

    Sales Representatives at StarTimes (Multiple Locations)

    Positions: Sales Representatives Qualification: Bachelor’s Degree in Marketing, Sales, Business Administration or related field Years of Experience: 3-5 years experience Sales Representative positions Main Job Responsibilities Ensure target achievement on daily basis for DTT/DTH activation...
  17. L

    Kampuni ya StarTimes yaleta matumaini kwa waandaaji wa filamu Kenya

    Kampuni ya Arise (AR) inayotayarisha filamu na yenye makao yake mjini Mombasa Kenya, imepata fursa ya kipekee ya kusaini mkataba wa kuandaa filamu inayoitwa NIA, ambayo inarushwa kupitia kituo cha runinga cha Rembo, kinachomilikiwa na kampuni ya StarTimes. Akizungumza na CRI Kiswahili, Derrick...
  18. U

    Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

    Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia Ligi kubwa za ulaya Lalita spain Bundaslige ujerumani Ligi uholanzi Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa...
  19. BabaMorgan

    Startimes nyenzo muhimu katika kuendeleza na kuimarisha ushawishi wa taifa la China barani Afrika

    Tunaotumia kingamuzi cha startimes sasa tunajifunza lugha ya Kichina kupitia channel ya starswahili hongera kwa Wachina kutumia kampuni yao ya startimes kama jukwaa la kutangaza tamaduni zao pamoja na mafanikio yao. Mataifa shindani kama USA yameendelea kushangazwa na kuongeza kwa ushawishi wa...
  20. D

    Kisimbuzi Cha startimes kinaniambia niingize dekod pin kwenye channel ya ITV. He dkoda pin number ipi

    Leo dekoda imenambia hivyo.. cjui tatizo Nini hebu nitatulieni
Back
Top Bottom