Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000
Kimetumika miezi 4 tu
Nipo Mbezi Luis
Mawasiliano 0767696021
Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku.
Na accessories mbalimbali:
#Remote control, #Antenna Cable
#HDMI ( mita moja Hadi 20)
#LNB #TVstand, n.k
Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units.
Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam.
+255756126081
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,
Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,
Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani.
Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi.
Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa kupitia T-pesa bila mafanikio kwa maana upande wa 'Startimes'. Pesa imerejeshwa. Leo nimewasiliana na...
Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi
Siwezi sema ni tatizo la signal strength kwamba dish imeyumba wakati local channels zinapatikana pamoja na ESPN, kama ingekua ni tatizo...
Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes.
Waelewa tatizo ni Error code 69.
Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C.
Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne,
Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu.
So nimekuja hapa kwa wanajf...
AINA YA TV: StarTimes
MODEL: Smart TV
UPANA: inch 55''
Resolution (Ubora wa picha): 4K
Bei: Milioni moja na laki moja (1,100,000/- TZS)
Mahali: Kimara, Dar es salaam
Kama unaihitaji TV hii tuwasiliane: 0755038159
NB: Haina tatizo lolote
Achana na bei za vifurushi,achana na kuondoa local Chanel kwenye fta.
Leo kupitia Chanel yao ya Tv3 walikua wakionesha mpira Kati ya Simba na raja,,wakati kipindi Cha pili kinaanza hawakurudi uwanjani mapema walidelay for 19 minutes,,,na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja...
Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi.
Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
Habari ndugu wananchi wa jamhuri ya Ukraine na Urusi.
Nitangaze kuwa Mimi Ni mdau mkubwa wa vipindi vinavyorushwa na startime's channels St Swahili na St Mambo.
Kilichonileta hapa jukwaani Ni kutokana na kile kilichotokea Jana kwenye mchuano wa Mang'endo na Kiredio. Kwenye ule mchuano...
Positions: Sales Representatives
Qualification: Bachelor’s Degree in Marketing, Sales, Business Administration or related field
Years of Experience: 3-5 years experience
Sales Representative positions
Main Job Responsibilities
Ensure target achievement on daily basis for DTT/DTH activation...
Kampuni ya Arise (AR) inayotayarisha filamu na yenye makao yake mjini Mombasa Kenya, imepata fursa ya kipekee ya kusaini mkataba wa kuandaa filamu inayoitwa NIA, ambayo inarushwa kupitia kituo cha runinga cha Rembo, kinachomilikiwa na kampuni ya StarTimes.
Akizungumza na CRI Kiswahili, Derrick...
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana
Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA
Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa...
Tunaotumia kingamuzi cha startimes sasa tunajifunza lugha ya Kichina kupitia channel ya starswahili hongera kwa Wachina kutumia kampuni yao ya startimes kama jukwaa la kutangaza tamaduni zao pamoja na mafanikio yao.
Mataifa shindani kama USA yameendelea kushangazwa na kuongeza kwa ushawishi wa...