stashahada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkoba wa Mama

    Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

    Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina umri wa miaka 25, elimu yangu ni stashahada ya utabibu, ninatafuta nafasi ya kazi, ninao utayari wa kufanya kazi mkoa wowote, iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi...
  2. D

    Msaada Vyuo vya ELIMU maalum ngazi stashahada (diploma) hususan Kwa viziwi

    Habari za mchana. Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum ila kwakuwa lengo langu ni kusoma ya viziwi na sijui kama hivyo vyuo vinacourse...
  3. W

    Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  4. K

    Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  5. K

    Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  6. Mhaya

    RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
  7. IgKim

    Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  8. SAKA25

    Muongozo na vyuo vya kujiunga kwa ngazi ya Ualimu Stashahada

    UTANGULIZI Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha Sita wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya...
  9. DustBin

    SoC01 Stashahada kiwe kigezo au sifa ya lazima kwa Walimu wa Shule za Sekondari

    Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu wakipelekwa shule wapate elimu bora pamoja na kulelewa kimaadili kwa ajili ya kuandaa taifa la kesho...
  10. Yoda

    Ajira zote za jeshi la polisi zianzie ngazi ya Diploma

    Ili kuboresha utendaji na weledi wa Jeshi la Polisi nchini ni vyema serikali ikaweka kigezo cha elimu kama kipaumbele kwa ngazi zote za polisi.Hii ni kutokana na umuhimu na unyeti wa kazi za ulinzi wa usalama wa raia na mali zao. Waajiriwe vijana waliomaliza diploma, digrii na masters tu katika...
  11. L

    kuhusu udahili kozi za afya stashahada na astashada 2021/2022

    jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali?! msaada tafadhali
  12. Elisha Sarikiel

    Nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Astashahada ya ualimu elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu Sekondari mwaka wa masomo 2021/2022

    KUMBUKA KUZINGATIA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KAMA IFUATAVYO Wahitimu wa kidato cha nne waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi 2019 wanaruhusiwa kutuma maombi. Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika vyuo vya Ualimu vya Serikali wanatakiwa kujisajili na kufanya maombi kielektroniki kupitia tovuti...
Back
Top Bottom