Hatimaye Kampuni ya State Oil Tanzania Limited imekubali yaishe mahakamani kuhusu malipo ya mkopo wa Dola 18.64 milioni za Marekani (Sh47 bilioni) za Benki za Equity, Equity Bank Tanzania Limited (EBT) na Equity Bank Kenya (EBK) uliokuwa unabishaniwa.
Hii inatokana na uamuzi wa kampuni hiyo...