Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary
Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary
Natanguliza Shukrani
Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu.
Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine.
Naombeni ushauri maana nina...
Wajuvi habari zenu?
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine.
Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
Prince jesuxy stationary centre tunatoa huduma kama vile printing, typing, laminating, photocopying, tunaprint ID, mitihani, matangazo, tunatengeneza vitini na vitabu, paspot size, tunapanga matokeo ya shule(excel), tunatoa picha aina zote na ukubwa tofauti, na huduma nyingine nyingi tupo...
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke...
Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku.
Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri?
Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa.
Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
Anaitajika mwanamke mmoja tu
Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo
Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo...
Wadau habari.
Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
Big Offer! Printer Mpyaa!
•Epson L3110 kwaajili ya biashara na ofisini
•Ina uwezo wa
Kuprint📍
Kutoa copy 📍
Kuscan 📍
Picha na karatasi ukubwa wa A4 √
•Unapata CD/User guide√
•Cable √
•Chupa zenye wino full (mpya)√
+ Free delivery √.
Call Now! 0754 683 963
Tsh. 500,000/= tu!
VIFAA VYA STATIONARY
Jipatie bidhaa za stationary kwa bei nafuu zaidi kwa bei ya jumla tupo kariakoo mtaa wa lindi karibu na msikiti wa lindi pia tunafunga ODA kwa watu wa mikoani kwa uaminifu mkubwa
0756278000
0712773424 namba zote zipo whatsapp
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.
Je hii ni sahihi kweli jamani
Wadau naomba msaada kidgo kujua kama,
Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu akaniambia mizigo ya apple huwa ni utumwa au wenyewe wanaita ni gereza la kifahari.
Nikaona sio mbaya nije...
Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet
Aweze pia kuandaa na ku post matangazo mtandaoni. Awe na uwezo wa kusimamia kitengo cha mafunzo ya computer na kufanya digital markert na...
Wakuu,
Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara.
Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara.
Asante ni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.