statistics

  1. A

    Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  2. Sharbel

    Sina imani na hizi statistics wanazotoa Azam tv, kama ni kweli

    Kwa wale wote walio angalia game ya Prison na Simba, kwenye uchambuzi wa dakika 45 za mwanzo, ilionekana Simba kapiga shuti moja lililolenga goli na moja lisilolenga, kitu ambacho si sahihi hata wao wachambuzi walikiri hazipo sawa. Je, ni leo tu wamekosea? au ni mbinu za makusudi ? Na vipi za...
  3. G

    Ipi tofauti ya Masters of Applied Economics na Master of Economics au Masters of Applied Statistics na Master of statistics?

    Habari WanaJF. Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF ECONOMICS. Vilevile nimeangalia Mzumbe University wanatoa MASTERS IN APPLIED STATISTICS wakati...
  4. Enosh Ibrahim

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  5. Enosh Ibrahim

    Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani?

    Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
  6. Enosh Ibrahim

    Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  7. fazobonas

    Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya . Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
  8. mugah di matheo

    Kwa takwimu hizi kuna mahali Neymar anatukosea na kuna mahali sisi tumemvunjia heshima yake

    Toa maoni yake hapo
  9. Pang Fung Mi

    USHAURI: Jiajiri kutokana na taaluma yako badala ya kulalamika ajira hamna

    Tutafute pesa Kwa maarifa yetu. 👇👇👇 Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana. Tuokoe taifa. Ni hayo tu.
  10. Lycaon pictus

    Takwimu za bwawa la Nyerere zinastaajabisha sana

    Nafikiri toka uhuru hatujawahi kufanya mradi mkubwa namna hii. Kukamilika kwake kutatujengea roho ya uthubutu kwenye miradi mikubwa. Eneo la ziwa litakuwa na ukubwa wa karibu km za eneo 1,350. Hii ni kama mara mbili ya ukubwa wa Mtera. Na kwa eneo litakuwa la tano nyuma ya ziwa Rukwa. Japo...
  11. Jamii Opportunities

    Director of ict and statistics at MSD

    POST DIRECTOR OF ICT AND STATISTICS – 1 POST EMPLOYER Medical Stores Department (MSD) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-30 2022-08-12 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To advise the Director General on all matters related to ICT Systems and ICT governance; ii. To coordinate and ensures...
  12. ward41

    Libya bado ni nchi tajiri, tuache propaganda ( hizo hapo ni latest statistics)

  13. Data Hub

    Lessons for Statistics, Data Analysis, and Research

    Nowadays, the world is driven by data. High quality data is a must for development impact. We know that high-quality data is the foundation for meaningful policy-making, efficient resource allocation, and effective public service delivery. We need high quality data to achieve a valid and better...
  14. U

    Naomba kama kuna mtu aliwahi fanya Interview Elim Tech Foundation kada ya Research and Statistics

    Habari zenu wakuu kama mada inavyojieleza apo juu naomba msaada nataka kujua maswali yao na vitu vingine navoweza kitana nayo hii ndio interview yangu ya kwanza. Nimetumiwa text message nimeambiw nijibu yes or no km ntakua available j3, kingine anasema inaweza kuwa physically au through Zoom...
  15. covid 19

    Nafasi 4 za kujitolea Elimu Tech Foundation (ETF)

    Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
  16. The Genius

    Natafuta kazi, nina Bachelor ya Statistics, Research and Mathematics

    Wakuu Salaam, Nina Bachelor ya Statistics, Research and Mathematics. Ninatafuta kazi yoyote ile. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM
  17. Ushimen

    National Bureau of Statistics (NBS) Temporary Jobs, March 2021- (300 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza hapo chini kudownload documents PDF: TANGAZO LA KAZI NBS (300)- PDF Fomu ya maombi pdf
  18. A

    Quantity survey Vs mathematics and statistics

    Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi...
  19. MWALLA

    Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  20. LangatKipro

    Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
Back
Top Bottom