Wakati mwingine ukifikiria maamuzi ya watendaji wa nchi hii yatakushangaza.
Kwa mfano: Bunju mwisho stand ya mabasi, walikuja wakasema mabasi yatoke yawe yanapaki barabarani watengeneze barabara na stand. Imepita zaidi ya miezi mitatu hakuna matengenezo ya stand wala nini na magari yanaendelea...